Wanafunzi waunda jembe linalotumia sola Tanzania

Wakati Tanzania ikitazamia kuelekea kwenye uchumi wa viwanda 2025, wanafunzi wawili wametengeneza kifaa cha kilimo cha aina yake kusaidia mchakato huo - jembe la sola.

Video: Eagan Salla