Kwa Picha: Maisha ya watu mwezi mmoja baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Makadirio yanaonyesha kuwa takriban watu 800 waliuawa na wengine takriban watu 7,000 kubaki bila makao wakati kilele cha mlima Sugar Loaf kiliporomoka

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Makadirio yanaonyesha kuwa takriban watu 800 waliuawa na wengine takriban watu 7,000 kubaki bila makao wakati kilele cha mlima Sugar Loaf kiliporomoka

Mwezi mmoja uliopita maporomoko ua udongo yaliharibu sememu za mji wa mkuu wa Sierra Leone, Freetown.

Makadirio yanaonyesha kuwa takriban watu 800 waliuawa na wengine takriban watu 7,000 kubaki bila makao wakati kilele cha mlima Sugar Loaf kiliporomoka na kufunika watu waliokuwa chini yake.

Maji yalisomba matope na mawe kwenda kwa bonde, na kufagia nyumba katika sehemu zingine mbili za Kamayana na Kaningo

Serikali sasa imeweka kambi mbili katika eneo la Juba na Hill Station kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa na shirika lisilo la serikali.

Lakini maisha ya wale waliohama makwao yanaendeleaje kwa sasa? mpiga picha Olivia Acland amekuwa akifuatilia hadithi zao.

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Tangu yatokee maporomoko ya udongo, Kadi Kamara na mtoto wake wa wa umri wa mwaka mmoja, Esme, wamekuwa wakilala katika nyumba isiyo na dirisha bila mito ya kulalia.

"Nilisikia kuwa walikuwa watuhamishe kwenda kwa moja ya kambi," anasema Kadi, lakini bado tuko hapa. Nafikiri wametusahau. Hatujakuwa na chakula tangu jana asubuhi. Watu wengi wanakuwa wagonjwa.

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

"Mariatu Bangura amebeba mkoba wake na anasubiri kuhamishwa kwenda kwa kambi huko Juba. Anasimama eneo ambapo nyumba yao ilikuwa akiwa na shangazi wake.

Alikuwa akiishi na bibi yake wakati wa siku ya maporomoko ya udongo, lakini wazazi wote wawili waliuawa.

"Ninawatunza watoto saba kwa sasa, anasema shangazi yake, Mariah. Ni vigumu sana kuilisha familia yangu.

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Esta na Ibrahim Kargbo wanaishi sehemu moja ya Kamayana. Wazazi wao nao waliuawa.

Esta alikuwa akiishi na jamaa yake wakati wa mkasa, lakini Ibrahimu alikuwa ndani ya nyumba na familia. Aliondolewa kutoka kwa nyumba iliyokuwa imeporomoka na kuokolewa na jirani.

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone

Ujenzi unandelea eneo la Six Mile.

Msemaji wa Rais Abdulai Baytayray anasema: Katika awamu ya kwanza aa ujenzi tunajenga nyumba 53. Pia tutajenga makao ya watoto mayatima, kliniki na Shule. Tumetenga karibu ekari 200 eneo hili kujenga ili kuwahamisha sio wale walioathiriwa na maporomoko ya udongo tu bali wale wote walio sehemu hatari za Freetowm.

Chanzo cha picha, OLIVIA ACLAND

Maelezo ya picha,

Maisha ya watu baada ya maporomoko ya udongo Sierra Leone