Silaha za jadi za Wamaasai ni hatari mijini?

Silaha za jadi za Wamaasai ni hatari mijini?

Moja kati ya alama muhimu inayoweza kutambulisha au kutofautisha jamii moja hadi nyingie barani Afrika ni mila na desturi zao.

Ingawa utamaduni wa jamii ya maasai umekuwa kama kivutio kikubwa kwa baadhi ya watu, moja ya mila na desturi inayopendwa na wamasai waishio katika chini za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kubeba silaha zao za jadi kama vile sime, rungu pamoja na fimbo ndefu, Utamaduni huu umegeuka tishio kwa baadhi ya watu kutokana na matumizi mabaya ya silaha hizo.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na watu ya jamii hiyo mjini Dodoma na hii hapa ni taarifa yake…