Kituo maalum kinachowafaa kina mama wajawazito Tanzania

Kituo maalum kinachowafaa kina mama wajawazito Tanzania

Kina mama wajawazito ni kati ya watu wanaohitaji huduma za kimatibabu kwa karibu. Nchini Tanzania vipo vituo maalum kwa ajili ya kina mama waosubiri kujifungua.

Akina mama wajawazito katika kituo Maarufu kwa jina la CHIKANDE kilichopo mkoani Dodoma nchini Tanzania wanasimulia masaibu wanayokumbana nayo katika vijiji wanamoishi ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa huduma za Dharura kwa mama mjamzito.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amtuandalia taarifa ifuatayo.