Habari za Global Newsbeat 1500 14/ 09/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 14/ 09/2017

Wanawake wana uwezo mkubwa wa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ngono katika ndoa kulingana na utafiti wa tabia za ngono uliofanywa nchini Uingereza.Utafiti huo umebaini kwamba wanawake wengi hupoteza hamu hiyo wanapoishi na wapenzi wao kwa muda mrefu