Habari za Global Newsbeat 1500 15/09/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 15/09/2017

Lady Gaga amefikishwa hospitalini baada ya kupata uchungu mwilini. Mwanamuziki huo amehairisha tamasha yake ya Rock mjini Rio nchini Brazil kutokana na tatizi hilo.