Vita dhidi ya Korea Kaskazini vinaweza kuwa vipi?

Vita dhidi ya Korea Kaskazini vinaweza kuwa vipi?

Korea Kaskazini imefanyia majaribio kombora ambapo kwa mara ya pili ililirusha kupitia anga ya Japan.

Hilo limezidisha hatari ya kutokea kwa mgogoro wa kivita eneo hilo.

Lakini je, vita dhidi ya Korea Kaskazini vinaweza kuwa vipi?

Wataalamu wawili wamezungumza na BBC.