Habari za Global Newsbeat 1000 18/09/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 18/09/2017

Mhandisi wa kilimo mwenye umri wa miaka 39 amemposa mpenzi wake kwa kuchimba maneno ya kumuomba awe mchumba wake kwenye shamba lake.

Je, wewe ungependa kumchumbia mpenzi wako wapi au kwa namna gani?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com