Habari za Global Newsbeat 1400 18/09/2017

Habari za Global Newsbeat 1400 18/09/2017

Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel. Licha ya kushinda,Hamilton anataja michuano ya mwaka huu kuwa na upinzani mkali.