Barnaba Boy: Nayakosa sana maisha ya kawaida

Barnaba Boy: Nayakosa sana maisha ya kawaida

Wasanii maarufu waishio barani afrika ikiwemo Tanzania huishi maisha ya kutokuojionyesha kwa watu katika maisha ya kawaida isipokuwa katika shughuli maalumu.

Hii hutokana na kuhofia kuzongwa na mashabiki au kuwindwa na maadui, ingawa baadhi yao hujitahidi kuishi maisha ya kawaida katika mitaa wanayoishi.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na Elias Barnabas maarufu kama Barnaba boy na kuandaa taarifa ifuatayo.