Ulimwengu waadhimisha ugonjwa wa Alzheimer

Ulimwengu waadhimisha ugonjwa wa Alzheimer

Septemba ni mwezi ambapo ulimwengu unaadhimisha ugonjwa wa Alzheimer.

Wanaharakati wa kukabiliana na ugonjwa huo nchini Kenya waliandaa mafunzo kwa wafanyikazi wa matatu mjini Nairobi kuwaelimisha kuhusu kuwachukulia watu walio na ugonjwa huo.

Elizabeth Kasimu ni mmoja wa wanaharakati hao nchini Kenya.