Kilimo bora cha kisasa kinaweje kuwafaidi wakulima Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Kilimo bora cha kisasa kinaweje kuwafaidi wakulima Tanzania?

Sekta ya kilimo imekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania ambapo mwaka uliopita ilichangia asilimia 29.1 ya pato la jumla la taifa.

Lakini je, yapo mafanikio na changamoto ya kufanya kilimo bora cha kisasa?

Mkulima anaweza kunufaika?

Mada zinazohusiana