Fausta: Faru mzee zaidi duniani anayeishi Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Fausta: Faru mzee zaidi duniani anayeishi Tanzania

Tanzania licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii, lakini pia inajivunia kuwa na faru mweusi jike ambae ndie faru mzee zaidi duniani.

Faru huyo maarufu kwa jina la Fausta hivi sasa amehifadhiwa katika eneo maalumu baada ya afya yake kudhoofika.

Aboubakar Famau hivi karibuni alikuwa katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana