Mimba za utotoni zinakwamisha ustawi Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Mimba za utotoni zinakwamisha ustawi Tanzania?

Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike huadhimishwa kila tarehe 11 Oktoba.

Tanzania mwaka huu inashiriki kwa kaulimbiu inayosema tokomeza mimba za utotoni tufikie uchumi wa viwanda.

Haba na Haba leo tunakuuliza, je, Tanzania inaweza kuangamiza mimba za utotoni?

Mada zinazohusiana