Ruzibuka anavyosaidia wanawake kupata riziki kupitia mavazi Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Ruzibuka anavyosaidia wanawake kupata riziki kupitia mavazi Rwanda

Baada ya serikali ya Rwanda kupiga marufu nguo za mitumba ,mpango wa kutumia nguo zinazotengenezwa nyumbani umeanza kushika kasi.

Priscilla Ruzibuka ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ambaye ameanzisha karakana ya kushona nguo za watoto na kusaidia akinamama wengine kujikimu kimaisha.

Anasema kazi yake imeishamfungulia njia na kufahamika kimataifa’ Mwandishi wa BBC yves Bucyana alimtembelea

Mada zinazohusiana