Mkimbizi ambaye amekuwa mchezaji nyota Denmark
Huwezi kusikiliza tena

Nadia Nadim: Mkimbizi ambaye amekuwa mchezaji nyota Denmark

Nadia Nadim alitoroka vita nchini Afghanistan akiwa mtoto. Sasa anachezea timu ya taifa ya Denmark na katika klabu ya Portland Thorns nchini Marekani.

Na hivi karibuni alisajiliwa na timu ya wanawake ya Manchester City, atakapoanzia kucheza Januari 2018