Gado: Mipaka yako si mipaka yangu mimi
Huwezi kusikiliza tena

Gado huongozwa na nini akichora katuni zake?

Mchoraji vibonzo Godfrey Mwampembwa ambaye hufahamika zaidi kama Gado anasema ametishiwa kufungwa jela mara nyingi kutokana na kazi zake.

Anasema serikali nyingi zinatumia sheria kuwatishia wanahabari.