Wanawake 100: Wanawake waliodhalilishwa wakitumia uchukuzi wa umma wasimulia

Wanawake 100: Wanawake waliodhalilishwa wakitumia uchukuzi wa umma wasimulia

Wanawake wengi katika maeneo mbalimbali wamewahi kushambuliwa na kudhalilishwa kimapenzi au kwa njia nyingine wakitumia magari ya uchukuzi wa umma.

Kama sehemu ya makala za Wanawake 100, BBC imezungumza na wanawake watatu mmoja kutoka Nairobi, mwingine Istanbul na wa tatu kutoka London kuhusu walivyokumbana na dhuluma.