Habari za Global Newsbeat 1000 17.10.2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 17.10.2017

#GNBSwahili: Je, umechoshwa na maandishi ya kuchukiza na kudhalilisha kwenye mitandao ya kijamii? Facebook imenunua programu mpya ‘tbh’- to be honest - inayohamasisha vijana kuwa wazuri kwa wenzao katika mawasiliano ya kila siku. Sikiliza!