'Marambuza' wanavyowanyanyasa wanawake kijinsia Mombasa
Huwezi kusikiliza tena

'Marambuza' wanavyowanyanyasa wanawake kijinsia Mombasa Kenya

Wakati BBC ikiendelea na makala kuhusu wanawake hii Leo tunaangazia tatizo la unyanyasaji wa kijinsia katika huduma za usafiri wa umma.

Mwenzetu John Nene anaangazia jinsi wanawake wanavyodhulumiwa kijinisia wakiwa ndani ya kivuko cha Likoni Ferry mjini Mombasa pwani ya Kenya.