Roselyn Akombe: Nahofia maisha yangu, sirudi Kenya karibuni

Roselyn Akombe: Nahofia maisha yangu, sirudi Kenya karibuni

Aliyekuwa kamishna wa Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC Dkt Roselyn Akombe amekwenda New York Marekani na kujiuzulu wadhifa wake katika tume hiyo.

Amesema anahofia maisha yake na hapangi kurudi Kenya hivi karibuni.