Habari za Global Newsbeat 1400 18.10.2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1400 18.10.2017

#GNBSwahili: ‘Pole dancing’ kujumuishwa kwenye michezo ya olimpiki? Densi hiyo ni maarufu katika vilabu vya burudani. Densi hiyo maarufu katika vilabu vya burudani imeidhinishwa na shirikisho moja la kimataifa la michezo Pole Sports Federation (IPSF)