Uhispania kuahirisha kujitenga kwa Catalonia

Catalonia sio Uhispania
Image caption Catalonia sio Uhispania

Uhispania inatarajiwa kuanza kuahirisha kujitenga kwa Catalonia siku ya Jumamosi baada ya viongozi wake kutishia kutangaza uhuru.

Afisi ya waziri mkuu imesema kuwa baraza la mawaziri litakutana ili kukipa nguvu kifungu cha 155 cha katiba itakachokiruhusu kuchukua usimamizi wa jimbo hilo.

Kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont mapema alisema kuwa bunge la eneo hilo litapiga kura ya kujitenga iwapo Uhispania itaendeleza ukandamizaji.

Wengine wanahofia kuwa hatua hiyo inaweza kuzua ghasia.

Mada zinazohusiana