Hatari ya nyoka kaskazini mwa Nigeria

Hatari ya nyoka kaskazini mwa Nigeria

Zaidi ya watu milioni tano wanang'atwa na nyoka kila mwaka duniani kote,kiwango ambacho ni kibaya kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, WHO.

Lakini tatizo ni kubwa zaidi kaskazini mwa Nigeria ambapo nyoka wamekuwa wakisababisha vifo na ulemavu wa kudumu.

Hata hivyo maeneo mengi wanakoishi watu maskini nchini humo, kutafuta mahitaji kumewafanya wasizingatie usalama wao.

Ripoti ya Mwandishi wa BBC Is'haq Khalid kutoka mji wa kaskazini wa Kaltungo.