Tazama daraja linaloaminika 'kujengwa na Mungu Tanzania'

Tazama daraja linaloaminika 'kujengwa na Mungu Tanzania'

Sieny ni eneo lililopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania, ni miongoni mwa maeneo yanayoheshimika kutokana na imani ya kabila la Wachaga waishio katika eneo hilo.

Ni katika eneo hilo, ndio kunapatikana Daraja la Mungu ambalo wakazi wake wanaamini limejengwa na Mungu, lakini pia kuna mapango yanayotumika kwa matambiko.

David Nkya alitembelea eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.