Viboko wageuka magaidi kwa wakazi pwani ya Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Viboko wageuka magaidi kwa wakazi pwani ya Kenya

Wakazi wa eneo la Sabaki pwani ya Kenya wanapitia wakati mgumu kupambana na viboko wanaowavamia kwenye makazi yao.

Mmoja wao aliuaawa wiki jana huku wakilaumu shirika la huduma la wanyama pori kaunti ya Kilifi kwa kutochukua hatua.

John Nene amekuwa huko na kutuandalia ripoti hii.

Mada zinazohusiana