Habari za Global Newsbeat 1400 24.10.2017

Habari za Global Newsbeat 1400 24.10.2017

#GNBSwahili: Marekani ni miongoni mwa mataifa ambayo hayajaharamisha ndoa za watoto. Wasichana walio na hadi miaka 13 wanashinikizwa kuolewa. Sikiliza!