Picha 11 za harusi zitakazokushangaza

Mbwa harusini
Image caption Mbwa harusini

Ni mojawapo ya siku kubwa ya maisha ya wanandoa na kama mtu aliyeandaa harusi atakelezea , kuchagua mpiga picha mzuri ni muhimu.

Hata iwapo ulikuwa na mawazo na huzuni, mpiga picha mzuri atakahikisha kuwa unaonekana unatabasamu.

Ukitazama hayo yote ni kitu cha kufurahisha kwamba upigaji picha wa harusi mara nyengine hukabiliwa na matatizo.

Watu wengine hudhania kwamba upigaji picha na mashemegi ni mojawapo ya siku ambayo ungetaka ifanyike na kukamilika kwa haraka

Image caption Picha ya Citlalli Rico

Citlalli Rico

Lakini mara nyengine ,wakati muhimu wa kupiga picha katika harusi hujiri wakati watu hawajajitayarisha wakati ambapo hawajui na wanaendelea na shughuli zao.

Na iwapo kuna mpiga picha mzuri basi huo ndio wakati wa kupiga picha na matokeo yake huwa ya kipekee.

Image caption Picha ya Joshua D'hondt

Joshua D'hondt

Picha nzuri ya watu waliokunywa pombe wakicheza densi na watoto wakicheza wakati wa harusi zinaweza kuwa picha ambazo zitaongezea utamu wa picha za harusi zilizopigwa.

Na picha hizi za harusi zina vichekesho na visa tofauti vya kushangaza.

Image caption Gabriel Scharis
Image caption Picha ya Lynda Wells
Image caption Picha ya Ken Pac
Image caption Picha ya Tyler Wirken
Image caption Picha ya Pasquale Minniti
Haki miliki ya picha Marius Dragan
Image caption Marius Dragan
Image caption Picha ya Julian Wainwright

Marius Dragan

Picha hizi zinashirikisha visa vya kushangaza huku kukiwa na kesi zinazoanguka kakutoka juu , mbwa harusini mbali na ziara zenye hisia katika makaburi ya familia.

Julian Wainwright

Mwanamke kwa jina Nancy Smith alijiona katika picha moja na kuandika tamko hili akisema ni yeye aliyekuwa akivalishwa nywele bandia.

Image caption Mwanamke kwa jina Nancy Smith alijiona katika picha moja na kuandika tamko hili akisema ni yeye aliyekuwa akivalishwa nywele bandia.

David Clumpner

"Ahsanteni sana, aliandika. Mimi ndio huyo mwanamke katika picha.

Ni mwaka mgumu kwangu mimi kupatikana na ugonjwa wa saratani ya matiti na kufanyiwa matibabu kabla ya harusi ya mwanangu .

Wakati nilipokuwa nikijiandaa na wasichana katika harusi walikuwa wakinitazama na lilijawa na hissia. Naendelea vyema wakati huu na nawashukuru wote.