Habari za Global Newsbeat 1000 31.10.2017

Habari za Global Newsbeat 1000 31.10.2017

#GNBSwahili: Netflix kusimamisha kipindi maarufu, House of Cards #HouseOfCards, baada ya nyota wa kipindi hicho, Kevin Spacey (Francis Underwood), kukumbwa na madai ya kumnyanyasa kimapenzi mvulana mdogo. Sikiliza!