Hilda Ringo - mwanamke wa kwanza kuwa rubani Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Hilda Ringo, miongoni mwa wanawake wachache wa mwanzo kabisa nchini Tanzania kuwa rubani

Katika msimu mpya ya Wanawake 100 wa BBC, tunaangazia wanawake wenye ushawishi na wanao wahamasisha wengine kuyakabili matatizo ulimwenguni.

Hilda Ringo ni miongoni mwa wanawake wachache wa mwanzo kabisa nchini Tanzania kuwa rubani katika umri mdogo, na ni sekta ambayo hadi hivi sasa bado wanawake ni wachache mno.

Munira Hussein alizungumza naye na kutuandalia Taarifa ifuatayo