Mauzo ya Biblia yashuka kutokana na mtandao DR Congo

Kutokana na sayansi na teknolojia inavyozidi kusonga mbele kwa kasi , na mambo mengi kurahisishwa wahubiri wengi nchini DRC sasa wanatumia bibilia za kwenye simu badala ya Bibilia za kawaida kinyume na utaratibu .

Matumizi haya ya kisasa yamesababisha wachuuzi wa vitabu hivyo kupoteza wateja ambao sasa wanajitolea kuweka Bibilia katika simu bure bila kutoza pesa ,