Msanii pekee anayepiga KORA nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Msanii Swahili Alli ni msanii anayepiga KORA nchini Tanzania

Kora ni chombo cha muziki maarufu sana barani Afrika haswa katika nchi za Magharibi kama vile Gambia Mali na hata Senegal,

huku wanamuziki kama Toumani Diabate wa Mali, Soriba Kouyate wa Guinea wakitajwa kuwa ni miongomi mwa wapigaji mahiri wa chombo hicho barani humu, nchi Tanzania Msanii Swahili Alli ndie msanii pekee anayemiliki chombo hicho na kukipiga.

Mwandishi wa BBC Omary Mkambara alikutana na msanii na kutuandalia taaifa ifuatayo

Mada zinazohusiana