Habari za Global Newsbeat 1000 06.11.2017

Rais wa Camerron, Paul Biya, anaadhimisha miaka 35 maamlakani hivi leo. Anaorodheshwa miongoni mwa marais wa Bara Afrika waliokwamilia maamlaka kwa muda mrefu zaidi katika historia. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe na Obian Ngema wa Equatorial Guinea wanaongoza orodha hiyo.