Habari za Global Newsbeat 1200 08.11.2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1200 08.11.2017

#JoshuaVsWilder? Bingwa wa taji la WBC Mmarekani Deontay Wilder ajigamba kumlambisha sakafu Anthony Joshua nyumbani kwake Uingereza! Wilder alitetea taji lake dhidi ya Bermane Stiverne jumamosi, wiki moja baada ya Joshua kuhifadhi mataji yake ya WBA na IBF dhidi ya Carlos Takam. #GNBSwahili