Diamond Platinumz azungumza na Salim Kikeke: Mahojiano kamili

Diamond Platinumz azungumza na Salim Kikeke: Mahojiano kamili

Kila mtu ana ndoto zake maishani. Kwa msanii wa muziki nchini Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platinumz ndoto yake yeye ni kuuweka muziki wa nchi yake katika ramani ya dunia.

Lakini pia kunayo kuhusu maisha yake ambayo yamezungumziwa sana.

Amebainisha hayo wakati akizungumza na Salim Kikeke mjini London