Mateso ya wafanyakazi wa majumbani Uarabuni
Huwezi kusikiliza tena

Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch

Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch inayoonesha kuwa wafanyakazi wa majumbani kutoka Tanzania wanateseka katika mataifa ya Oman na Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu,

ambapo baadhi ya waliohojiwa wanadai kufanyishwa kazi kwa masaa mengi, kunyanyaswa kimwili na kingono na pia kutolipwa mishahara waliyoahidiwa.

Mada zinazohusiana