Habari za Global Newsbeat 1000 27/ 11/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 27/ 11/2017

Meneja msaidizi wa Everton, David Unsworth amesema mambo yanastahili kubadilika haraka katika klabu hiyo baada ya kushindwa tena kwa mabao manne kwa moja dhidi ya Southampton.

Je, yapi maoni yako kuhusiana na Everton msimu huu?

Tusaliane kwenye Facebook BBCSwahili.