Ufugaji huria unaharibu mazingira Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Ufugaji huria unaharibu mazingira Tanzania?

Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye mifugo wengi Afrika lakini ufugaji wa kiholela umekuwa ukidaiwa kuchangia uharibifu wa mazingira.

Je, ufugaji huria unachangia uharibifu wa mazingira na je ufugaji wa kisasa unaweza kuwa suluhu?

Mada zinazohusiana