Habari za Global Newsbeat 1000 04/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 04/12/2017

Kikosi cha Jose Mourinho cha Manchester United kilipunguzwa na kuwa na wachezaji 10 katika dakika za mwisho baada ya Paul Pogba kupewa kadi nyekundu, alimshinda nguvu Koscielny na kumpatia pasi Lingaard ambaye alifunga bao la tatu na kuipatia United ushindi huo.

Je, Pogba alistahili kadi hiyo nyekundu?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili