Habari za Global Newsbeat 1500 04/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 04/12/2017

Fatuma Zarika ndiye bado bingwa wa dunia uzani wa super bantam chama cha WBC baada ya kumshinda Catherine Phiri wa Zambia.

Je, Zarika ana uwezo wa kumshinda tena Catherine Phiri wakikutana tena?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com.