Habari za Global Newsbeat 1000 05/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 05/12/2017

Nyota wa filamu za Bollyhood wamekutana huko Mumbai kwa mazishi ya muigizaji Shashi Kapoor, aliyefariki Jumatatu akiwa na umri wa miaka 79. Kapoor ameigiza zaidi ya filamu 150.

Je, wewe hupenda filamu gani ya muigizaji huyo?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com