Habari za Global Newsbeat 1500 06/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 06/12/2017

Mifupa ya watu wa kale zaidi duniani inazinduliwa leo katika mji mkuu Johannesburg.Mifupa hiyo kwa jina "Little Foot", Yaani miguu fupi, ilipatikana nchini Afrika Kusini, na inaaminika kuwa mojawepo ya mifupa ya kale zaidi Duniani