Habari za Global Newsbeat 1500 12/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 12/12/2017

Serikali ya India imepiga marufuku matangazo ya kibiashara ya mipira ya kondomu, wakati wa taarifa kuu ya habari kwenye runinga, ikisema kuwa hayafai kwa watoto.

Je, unakubaliana na serikali hiyo?

Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili.com