Mbilikimo wadai kutengwa nchini DRC
Huwezi kusikiliza tena

Watu wa jamii ya Mbilikimo wadai kutengwa nchini DRC

Wabunge wa jimbo na ofisi ya haki za kibinadamu ya Umoja wa Mataifa nchini DRC wamezindua mkutano maalum wa kujadili kuhusu haki za Mbilikimo nchini humo ambao mpaka sasa wanalalamika juu ya kunyimwa haki zao.

Wamekabiliwa na migogoro ya ardhi na nyumba zao kuteketezwa mara kwa mara, na sasa jamii hiyo inapaza sauti zao kwa bunge la nchi kushinikiza kujadiliwa kwa haraka sheria hiyo inayowahusu.

Mwandishi wetu Mbelechi Msoshi anaarifu zaidi.

Mada zinazohusiana