Mwanamke anayefaidi kwa kutumia chupa za vileo Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke anayefaidi kwa kutumia chupa za vileo Tanzania

Utamaduni wa kazi za mikono katika nchi za Afrika Mashariki na Kati unaonekana kupotea kutokana na sayansi na technolojia na mabadiliko ya tabia za wanadamu na kutaka vitu vya kisasa zaidi.

Janet ni meneja wa tawi la mojawapo ya kampuni za simu nchini Tanzania, ameiona fursa ya kazi za mikono kupitia chupa za vileo.

Mwandishi wetu Regina Mziwanda anaarifu zaidi.

Mada zinazohusiana