Wakimbizi Uganda waandaa tamasha la muziki  kuwasaidia waathiriwa wa ubakaji
Huwezi kusikiliza tena

Wakimbizi Uganda wawasaidia waathiriwa wa ubakaji

Wakimbizi wa mataifa mabalimbali nchini Uganda wameandaa tamasha la muziki na maonesho ya kazi za mikono kwa nia ya kuwasaidia wenzao walio na matatito zaidi sana wasichana na akina mama wanaofanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.

Tamasha hilo limeandaliwa na kikundi cha wasanii wakimbizi wanaojiita FAARU. Mwandishi wetu Issaac Mumena anaarifu