Habari za Global Newsbeat 1000 18/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 18/12/2017

Wanasayansi wa Uingereza wanasema wameunda kadi ndogo duniani ya krismasi. Ni ndogo kiasi cha kuwa, kadi milioni mia mbili kama hiyo zinaweza kutosha katika stampu moja ya posta.