Habari za Global Newsbeat 1500 18/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 18/12/2017

Mwanafunzi wa sheria nchini Nigeria Amasa Firdaus, amezuiliwa kufuzu baada ya kusisitiza kuvaa hijab wakati wa sherehe za kufuzu.

Je, mwanafunzi huyo alitendewa haki?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com