Habari za Global Newsbeat 1000 20/12/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 20/12/2017

Watu wengi nchini Uingereza wamekuwa wakitafuta kuhusu maswala ya kiafya hasa ugonjwa wa saratani kwenye mtandao wa Google.Wengi wao wakitafuta saratani ni nini?

Je, wewe hutafuta nini kwenye mtandao huo?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com