"Walivyoniteka walichukua kila kitu mpaka nguo nilizovaa mwilini"
Huwezi kusikiliza tena

Dereva wa magari makubwa yafanyayo safari za masafa marefu

Stella Radini wa nchini Tanzania ni mama wa watoto wawili anayefanya kazi ya udereva wa magari makubwa yafanyayo safari za masafa marefu kwa takriban miaka 16 sasa.

Mada zinazohusiana